MINYOO (1)
Ipo minyoo ya aina mbalimbali inayoweza kuwapata kuku. Minyoo huenea kupitia maji, chakula na kinyesi.
Dalili za kuku mwenye minyoo
- Kutoa kinyesi chenye minyoo.
- Kukosa hamu ya kula.
- Hudumaa na kukonda (hudhoofika) mwili.
- Wakati mwingine hukohoa.
Tiba na namna ya kudhibiti minyoo
- Wapewe dawa haraka baada ya kugundulika kuwa na wanaminyoo, pia wapewe dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.
No comments:
Post a Comment