CHANGIA MADA

Wafugaji bila umoja tunaweza kuboresha soko la bidhaa zetu?














Wapendwa wadau wetu wa ukurasa wetu wa changia  mada napenda kuwasalimu wote  na kuwakaribisha katika ukurasa wetu.

Katika ukurasa  wetu wa changia mada tutakuwa tunawaletea mada kisha nyinyi mnachangia mawazo yenu, ambapo mada zingine zitakuwa na pande mbili lakini mwisho tunapata hitimisho sahihi.

Kitu cha kuzingatia  ni kwamba mada zetu zote zina husiana na ufugaji.

Lengo la ukurasa wetu ni kubadilishana mawazo na kujua nani anafanya nini katika ufugaji. Lakini  pia tunakusudia kuhamasishana  katika suala zima la  ufugaji kwani kuna baadhi yetu wamekata tamaa ya kufuga kwa sababu mbalimbali.





MADA No. 1
Mfumo uliopo wa soko la mifugo na mazao ya mifugo (nyama, mayai na maziwa) unampa motisha mfugaji?




Imetayarishwa na;

 Dr. Lihundu A.A
Mobile:+255766 828344

No comments:

Post a Comment