Sunday, April 27, 2014

CHANGIA MADA

  MADA No. 5 

Wafugaji bila umoja tunaweza kuboresha soko la bidhaa zetu?!!

 

 

 

 

MADA No. 4

Upatikanaji wa madokta wa mifugo, unakidhi mahitaji yako?


MADA No. 3

Nani anapaswa kupanga bei ya kuku wa nyama (broilers)? Mnunuzi au mfugaji?


Imetayarishwa na;

Dr. Lihundu A. A.
Mobile: +255766 828344
MADA No. 2
Je, unaweza kupanga bei ya kuku (broilers) kwa mnunuzi bila kujali ubora wa kuku wako?
Imetayarishwa na;

Dr. Lihundu A. A.
Mobile: +255766 828344

1 comment:

  1. naomba msaada wa chanjo muhimu kwa ajili ya kuku wa kienyeji

    ReplyDelete