KIPINDUPINDU CHA KUKU (FOWL CHOLERA)
Ni
ugonjwa unaosababishwa na bacteria ambao unaoshambulia karibu aina zote
za ndege, ugonjwa huu ni hatari ambapo vifo ni kati ya 30% hadi 80%.
Njia za ueneaji ugonjwa
- Utupaji ovyo wa mizoga ya kuku, kwani mzoga unaweza kukaa na vimelea kwa zaidi ya miezi mitatu.